Pages

Oprah Winfrey OWN Network Sued For Sex Discrimination.

Oprah Winfrey
 Oprah Winfrey and sexual discrimination are usually not mentioned in the same sentence, but Oprah’s OWN network has been hit with a sex discrimination lawsuit. Carolyn Hommel a former senior director of scheduling and acquisitions at Oprah’s OWN Network in 2010 claims she was fired after she became pregnant.
In a suit, obtained by ABCNews.com, Hommel, who is seeking unspecified damages, claims that her superior at OWN, Michael Garner, gave her a “negative and untruthful performance” after she became pregnant, ruining her chances of promotion.
But after she went on maternity leave in February 2012, not only was her job eliminated, but she was passed over for the vice president’s position, which instead went to the temporary employ

Dr Jose Chameleone - Badilisha (Official)

T.I Covers The Source

The Source Magazine 
T.I. graces the cover of The Source Magazine for their February issue. T.I. gives a update of his upcoming role in the movie Identity Thief, which will be in theaters on February 8th. Trouble Man album in stores.
“It’s my first comedy so I’m looking forward to seeing that. I just want to keep my tools sharp…. Different people see T.I. in different ways. As long as they ain’t giving me a rapper. That’s what I don’t want to do. Anything else, I’d pretty much be open minded within reason of course.”

Unaependa Kuvaa Sare za Jeshi Hii Inakuhusu, Msikilize Waziri wa Ulinzi

 
 Mara Nyingi tunaona wasanii wakiwa na Sare za jeshi kwenye kazi zao tofauti hapa Tanzania. Mfano Kwenye majukwa ya matamasha tofauti na kwenye Video zao. Kupitia sammisago.com napenda kukufahamisha kuwa Leo Bungeni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mh.Shamsi Vuai Nahodha Alisema Ni Marufuku Kwa Wasanii Tanzania Kuvaa Sare zinazo fanana na sare za Jeshi Kwenye Kazi Zao Na kwa sasa serikali inawasaka watu wanaofanya vitendo hivyo, Wakikamatwa watachukuliwa hatua za Kisheria .

Sporah Visited Tanzania High Commission UK

Sporah
OKAY, so after researching OBSTETIC FISTULA in Africa and speaking to experts from AMREF who are working in this field, I found out Tanzania has one of the highest adolescent pregnancy rates in the world. We visited the wife of the Tanzania High Commissioner to the UK to talk about the subject.
S
High Commissioner' to the UK's Wife: Mrs Joyce Peter Kallaghe
Sporah
Sporah expressing her concern about ...

Richie Spice - Ghetto Girl

Gregory Isaacs - Night Nurse


Sugu Amuonya Roma Mkatoliki, Ni Juu ya Roma 2030

Sugu Mwana muziki ambaye kwa sasa ni Mheshimiwa kwa tiketi ya ubunge alioupata Mbeya Joseph Mbilinyi alimaarufu kama Mr 11 au Sugu ameonyesha wazi kukerwa na msanii mwenzie Roma kwa kile alichodai Roma ana kurupuka na hajui anachokifanya. Akizungumza nda ya EATV Katika kipindi cha friday Night Live Sugu amesema kuwa msanii huyo anapaswa kuijua misingi ya hip hop na pia Sugu amemuonya na kumtaka roma awe muangalifu na anachokiandika na kukitowa kwa jamii na sio kukurupuka kama mtu aliyestuliwa toka usingizini.
Sugu amesema yeye ni mfuasi wa hip hop hivyo ukitaka kuwa mwana hip hop lazima uzame ndani sana ili ukiandika kitu uwe na uhakika nacho na si kufanya kama Roma anavyofanya.Namtahadharisha bwana mdogo awe muangalifu na anachokiandika na si kukurupuka hip hop ina misingi yake na ni lazima uzame ndani sana maana hip hop ni maisha na ukweli mtupu, pia aelewe hip hop ni sauti ya kumkombowa mnyonge sasa unapoimba mambo ambayo huna uhakika nayo haipendezi maana utakuwa hujaisaidia jamii husika alisema sugu.

Roma
Katika wimbo huo wa 2030 kuna kipande kina sema pesa ndio imemaliza vita yaRuge na Sugu kitu ambacho kimeonyesha kumkera Sugu na kusema kuwaRoma anakurupuka na kuandika asichokijua maana kwa mstari huo tu umefanya niaamini kila achoandika hana anachokijua maana mstari huu unanihusu na hakuna ukweli juu ya alichokiimba.
Sugu amemtaka Roma kusikiliza nyimbo walizoimba kaka zake ili zimuongoze katika sanaa yake amesema asikize nyimbo kama za profesa jay,afande sele,solo thang atagunduwa kuwa zilikuwa ni harakati za uhakika mfano mdogo amesema asikilize miss Tanzania ya Solo Thang atajua anachomaanisha.
Roma alipotafutwa kujua amejisikiaje baada ya mheshimiwa kuchukizwa na wimbo wake Roma alisema Sugu ni kaka yake na anaamini kama kuna baya atamuita na atamrekebisha alipoulizwa kama alikuwa na uhakika kuwa vita ya Sugu na Ruge imemalizwa na pesa

Kutoka Bungeni Siku ya Leo

Bungeni 
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akiteta na Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika katika viwanja vya Bunge leo, baada ya hoja yake binafsi kukataliwa Bungeni.PICHA ZOTE /MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO

Spika wa Bunge Anne Makinda akitoa ufafanuzi hali iliyotokea Bungeni leo.

Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela (kushoto) akifurahia jambo na William Ngeleja (Sengerema), katika viwanja vya Bunge baada ya Spika wa Bunge Anne Makinda (hayupo pichani) kuahirisha kikao hadi kesho.

Mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo (kushoto), pamoja na Said Arfi (Mpanda Mjini)wakifuatilia hoja mbalimbali Bungeni leo Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia (kushoto) akimsikiliza Mhandisi Stella Manyanya (Viti maalumu) kuhusu yaliojiri Bungeni leo.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdalla Kigoda (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Wazri wa afya na Ustawi wa Jamii, Dkt Seif Rashid katika viwanja vya Bunge leo baada ya kuahirishwa mkutano wa kumi, kikao cha sita.

Lulu Alipoenda Kumpa Pole Wastara

Elizabeth Michael,Lulu,Wastara Juma
 MWISHONI mwa wiki iliyopita, msanii Elizabeth Michael “Lulu” alikwenda kumpa pole msanii mwenzake Wastara Juma kwa kufiwa na mumewe, Sajuki.
Elizabeth Michael,Lulu,Wastara Juma
Elizabeth Michael,Lulu,Wastara Juma Huzuni ilitawala nyumbani kwa Wastara mara baada ya Lulu kuwasili, lakini hatimaye baada ya muda mrefu wa maongezi nyuso za wasanii hao zikapambwa na tabasamu.
                                    Saluti 5