Sugu Amuonya Roma Mkatoliki, Ni Juu ya Roma 2030
Sugu Mwana muziki ambaye kwa sasa ni Mheshimiwa kwa tiketi ya ubunge alioupata Mbeya Joseph Mbilinyi alimaarufu kama Mr 11 au Sugu ameonyesha wazi kukerwa na msanii mwenzie Roma kwa kile alichodai Roma ana kurupuka na hajui anachokifanya. Akizungumza nda ya EATV Katika kipindi cha friday Night Live Sugu amesema kuwa msanii huyo anapaswa kuijua misingi ya hip hop na pia Sugu amemuonya na kumtaka roma awe muangalifu na anachokiandika na kukitowa kwa jamii na sio kukurupuka kama mtu aliyestuliwa toka usingizini.
Sugu amesema yeye ni mfuasi wa hip hop hivyo ukitaka kuwa mwana hip hop lazima uzame ndani sana ili ukiandika kitu uwe na uhakika nacho na si kufanya kama Roma anavyofanya.Namtahadharisha bwana mdogo awe muangalifu na anachokiandika na si kukurupuka hip hop ina misingi yake na ni lazima uzame ndani sana maana hip hop ni maisha na ukweli mtupu, pia aelewe hip hop ni sauti ya kumkombowa mnyonge sasa unapoimba mambo ambayo huna uhakika nayo haipendezi maana utakuwa hujaisaidia jamii husika alisema sugu.
Roma
Katika wimbo huo wa 2030 kuna kipande kina sema pesa ndio imemaliza vita yaRuge na Sugu kitu ambacho kimeonyesha kumkera Sugu na kusema kuwaRoma anakurupuka na kuandika asichokijua maana kwa mstari huo tu umefanya niaamini kila achoandika hana anachokijua maana mstari huu unanihusu na hakuna ukweli juu ya alichokiimba.
Sugu amemtaka Roma kusikiliza nyimbo walizoimba kaka zake ili zimuongoze katika sanaa yake amesema asikize nyimbo kama za profesa jay,afande sele,solo thang atagunduwa kuwa zilikuwa ni harakati za uhakika mfano mdogo amesema asikilize miss Tanzania ya Solo Thang atajua anachomaanisha.
Roma alipotafutwa kujua amejisikiaje baada ya mheshimiwa kuchukizwa na wimbo wake Roma alisema Sugu ni kaka yake na anaamini kama kuna baya atamuita na atamrekebisha alipoulizwa kama alikuwa na uhakika kuwa vita ya Sugu na Ruge imemalizwa na pesa

Kutoka Bungeni Siku ya Leo
Spika wa Bunge Anne Makinda akitoa ufafanuzi hali iliyotokea Bungeni leo.
Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela (kushoto) akifurahia jambo na William Ngeleja (Sengerema), katika viwanja vya Bunge baada ya Spika wa Bunge Anne Makinda (hayupo pichani) kuahirisha kikao hadi kesho.
Mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo (kushoto), pamoja na Said Arfi (Mpanda Mjini)wakifuatilia hoja mbalimbali Bungeni leo Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia (kushoto) akimsikiliza Mhandisi Stella Manyanya (Viti maalumu) kuhusu yaliojiri Bungeni leo.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdalla Kigoda (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Wazri wa afya na Ustawi wa Jamii, Dkt Seif Rashid katika viwanja vya Bunge leo baada ya kuahirishwa mkutano wa kumi, kikao cha sita.
Lulu Alipoenda Kumpa Pole Wastara
MWISHONI mwa wiki iliyopita, msanii Elizabeth Michael “Lulu” alikwenda kumpa pole msanii mwenzake Wastara Juma kwa kufiwa na mumewe, Sajuki.
Saluti 5
Q-Chief Achukua Fomu Za Kushiriki Big Brother Africa

Msanii mkongwe katika muziki huu wa Bongo Flava, Q Chief nae amekuwa miongoni mwa watu waliojitokeza kuchukua fomu ya kushiriki lile shindano linalokusanya waafrika mbalimbali na kuwa katika jumba moja la Big Brother Africa.
Shindano hilo ambalo linatarajiwa kuanza kufanyika mwishoni mwa mwezi wa tano mwaka huu ambalo huchukua washiriki kutokea nchi tofauti za Africa na kuishi kwa pamoja kwa takribani siku 90. Kutoka Tanzania, ma-star waliochukua fomu hizo hadi sasa ni mwanadada Wema Sepetu, Hemedy na Q-Chief.

Prezzo and Goldie to Tie The knot This Surtaday

Last year in November news of eccentric Nigerian artist Goldie Harvey
and Kenya’s king of bling Prezzo engaging went viral on social media.
Although Goldie came out publicly and declared that they were not an
item Prezzo kept the fire burning and told the media he had gone to
Nigeria for a ceremony called Ibankwu similar to kikuyu’s ruracio.
Well even after the dust settled another revelation has just been
unraveled and the high end couple is said to be tying the knot this
Saturday, February 9th, 2013.
Yeah right, Prezzo may settle down in Lagos where the wedding is
scheduled to be held if the article by Big Brother Africa is anything to
go by. How Kenyans missed the news is still not clear:
Here is the article:
"It is no longer news that Nigerian music queen Goldie and Kenya music
president, Prezzo are an item. Goldie has always had a thing for men
outside her home country Nigeria and even since when they were in the
BBA house; they had been having a good relationship.
Though things went out of hands at the end of the show, their loves
story continued after the show. Like a knight in shining armour, Prezzo
headed for Nigeria to ask for his lovers hand in marriage. We can
confirm that the two are set to marry. Last week in a formal ceremony at
Goldie’s parents’ residence in Lagos, Nigeria, Prezzo asked for
Goldie’s hand in marriage.
The wedding ceremony will hold in February 9th in Lagos. Prezzo promises
to take the whole of Kenya down to Nigeria for the ceremony."
President Obama's Message to the People of Kenya (Swahili Captions)
In a video message, President Barack Obama tells the people of Kenya that the upcoming elections are a historic opportunity for Kenyans to stand together, as a nation, for peace and progress, and for the rule of law.
Subscribe to:
Posts (Atom)