Pages

Siri ya Mtungi Sehemu ya 3

Man Builds Light Plane in Bayelsa

Unemployment or underemployment need not keep anyone from fulfilling their dreams says a young man from Brass in Bayelsa state, who in homestead has built a light plane that he hopes will fly someday soon.

Dk. Cheni: Nimemaliza kwa Lulu Nahamia kwa Kajala

Dk. CheniNa Gladness Mallya
STAA aliyekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ anapata dhamana, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ amefunguka kuwa baada ya kufanikiwa kwa Lulu sasa anahamia kwa msanii mwingine, Kajala Masanja.
Dk. CheniMahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ akiwa na Lulu pamoja na mama yake baada ya kukamilisha dhamana.
Akizungumza nje ya Mahakama Kuu jijini Dar baada ya Lulu kuachiwa, Dk. Cheni alisema kwa sasa anaanza mchakato wa kumsaidia Kajala mpaka ajue hatima ya kesi inayomkabili.
“Unajua Lulu siyo mtu wa kwanza kumsaidia na mama yake ndiye aliniomba, nilishawasaidia wengi. Hata Cloud alipofungwa nilifuatilia mimi na Dude mpaka mwisho, hatukukata tamaa na kwa Kajala nitafanya hivyo kwa sababu ni mwenzetu jamani, naamini Mungu anaweza sana na atafanikisha kila kitu,” alisema Dk. Cheni.
Kajala anasota Segerea akikabiliwa na kesi ya kuuza nyumba iliyokuwa imewekwa bondi na serikali kutokana na mumewe kutakatisha fedha haramu

Sanni M'Mairura - American Idol Season 12


 Mama yake ni Mtanzania na Baba yake ni Mkenya, Sanni M'Mairura amefanikiwa kuingia kwenye haya mashindano ambayo majaji wake wa sasa hivi ni pamoja na mastaa wa muziki duniani Maria Carey na rapper Nicki Minaj,

Nicki Minaj Almost Arrested in Dubai for Hugging a Guy

Nicki MinaJ
Nicki Minaj discussed nearly getting arrested in Dubai for giving a police officer a hug, during a recent appearance on the Jimmy Kimmel Live show.
“I went to Dubai. I almost got in so much trouble because the guys in Dubai are so cute. It’s not even funny. One of the rules [is] you can’t hug a man if you’re not married to the man. And so when we were leaving, there was this one guy that was so freaking cute, I was like, ‘Bye!’ because I just wanted to have this one last moment to…savor the moment with him…” Minaj continued, “Literally, I didn’t know he was a cop. They don’t have a police [uniform]. It was like a private airport. They were just dressed in their regular garments. I went to give him a hug, and it was literally, I almost felt like time stopped in Dubai. Ifelt like everything froze. Every single person turned around in slow motion like, ‘Nooo!’”
Minaj concluded, “Everyone in my team thought I was going to be put in jail. It was the scariest thing. He kinda put his arms up a little bit and cracked a nervous smile, and I was just like, ‘I’m sorry, I’m sorry!’ and I just left.”

Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Soko Kuu Mwanza Akutwa na Jeneza Ndani ya Soko

Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko kuu jijini Mwanza Bw. Hamad Nchola anadaiwa kukutwa na jeneza ambalo hata hivyo halikuwa na maiti ndani yake, likiwa katikati ya magunia ya viazi mviringo na hivyo kusababisha umati wa watu kufurika ndani ya soko hilo huku baadhi yao wakilihusisha tukio hilo na imani za kishirikina.

Timbaland Signs with Roc Nation

Timbaland
Jay-Z has added another major player to the Roc Nation with the announcement on Wednesday (January 30) that super producer Timbaland is now in the fold.
With a picture of the two old friends and collaborators chilling in a studio, Jay broke the news on his "Life & Times" blog with the caption, "Roc Nation welcomes Timbaland to the family." The news comes as Tim is back in the news thanks to his signature skittering beat on old friend Justin Timberlake's comeback single, "Suit & Tie."
The move makes sense, since Jay and Tim have a long, storied history making big hits, from 1998's "Jigga What, Jigga Who" from the rapper's third album, Vol. 2: Hard Knock Life to one of Jay-Z's biggest hits, "Big Pimpin'," from Vol. 3 ... Life and Times of S. Carter. They hooked up again on 2003's The Black Album for "Dirt Off Your Shoulder" and in 2009 on The Blueprint 3's "Off That" featuring Drake. Other tunes they've collaborated on include "Hola Hovito" from The Blueprint and "What They Gonna Do" and "The Bounce" from The Blueprint 2: The Gift & The Curse.

Tim's long career as a producer goes back 20 years to his early work with Jodeci and Aaliyah. In the years since he's worked with everyone from frequent collaborator Missy Elliot, to Janet Jackson, Usher, Nas, Eminem, No Doubt, Timberlake, Ludacris, Jennifer Lopez, Jamie Foxx, M.I.A., OneRepublic and Chris Brown.

TRA Wanajipanga Kuchukua Kodi kwa Wamiliki wa Nyumba za Kupanga

TRA,Mamlaka ya Mapato Tanzania 
UONGOZI wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wamesema wanakuna vichwa juu ya jinsi ambavyo watafanikisha kukusanya kodi kutoka kwa wenye nyumba nchini wanaofanya biashara ya kuzipangisha.
Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitillya alisema jijini hapa mwishoni mwa wiki kwamba kuna changamoto nyingi katika ukusanyaji wa kodi kutoka kwenye nyumba zilizopangishwa.
Alisema ni kawaida kwa kila mtu anayepata fedha kihalali lazima alipe kodi, lakini utaratibu wa kudai kodi kutoka kwenye nyumba zilizopangishwa bado unatafutwa.
“Katika ukusanyaji wa kodi changamoto ipo kwenye kukusanya kodi inayotokana na biashara ya upangisaji, kwa sababu wenye nyumba wengine hawataki kuonyesha mikataba halisi, lakini sasa tumepata wazo tofauti ambalo tunalifanyia kazi ni kutafiti kwamba bei za nyumba za kupanga kulingana na eneo husika, mfano tukijua Masaki wanapangisha nyumba kwa kiasi gani tutakuwa tumepata pa kuanzia, pia tunataka kulifanya suala hili kwa kuhakikisha sheria inatumika ipasavyo,” alisema Kitillya.

Kitillya aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kumalizika kwa sherehe za Mahafali ya Tano ya Chuo cha Kodi, kilichopo jijini Dar es Salaam, ambapo wahitimu walikuwa ni 435 miongoni wakiwamo wanawake 137 sawa na asilimia 31.

Awali katika mahafali hayo Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho, Profesa Palamagamba Kabudi akitoa hotuba yake alisema katika kuhakikisha wanatoa huduma kwa wadau wote wa mfumo wa kodi udahili wa wanafunzi umekuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka.
Alisema hadi sasa chuo kimeweza kutoa jumla ya wahitimu 1,780 tangu mwaka 2007 kiliposajiliwa. “Chuo kimeweza kuingiza mapato ya Sh3,333,043,499.44 kwa kipindi cha miaka minne, chuo kimejiwekea mpango wake ambao unaanza kutekelezwa katika mwaka ujao wa fedha’’ alisema.
Kwa upande wake Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali hayo, katika hotuba yake aliwapongeza wahitimu hao na kuwataka watumie vyema ujuzi na maarifa waliyopata kwa faida ya taifa, ikiwa ni pamoja na kuongeza ufanisi katika usimamizi wa kodi na kuwasaidia walipakodi watimize wajibu wao wa kulipa kodi kwa hiari.(Mwananchi)

Funniest Longest Compilation

Kipanya Leo

Kipanya