Pages

UK Aid: View From The Street

A short video exploring the views about overseas aid from people on the street in the UK, from their initial impressions to reactions about revealing facts and figures.

Secretary Clinton Holds Global Town Hall

U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton holds a Townterview at the Newseum in Washington, DC on January 29, 2013 at 9:30 AM. A "Townterview" is a mix of a town hall and a television interview.
The concept was first introduced by the Secretary when she entered office as a way to broaden People to People engagement. This is her 59th town hall and an opportunity to engage with young people around the world in advance of her last day as Secretary of State on Friday, February 1st.

Picha a Lulu Akiwa Uraiani

Elizabeth Michael 
Lulu na mama yake mzazi wakilia baada ya kukutana nje ya Mahakama, Lulu amechiwa huru na Mahakama leo january 29 2013 mchana, pembeni ni mwigizaji Dr. Cheni ambae amekua karibu na familia ya Lulu kwa muda mrefu sana.
Elizabeth Michael
 Lulu akitokwa na machozi ya furaha
Elizabeth Michae
Lulu akiingia kwenye gari
 Elizabeth Michael
Baada ya jana kushindikana kwa sababu zisizo zuilika hatimaye msanii maarufu Elizbeth 'Lulu' Michael ametoka kwa dhamana baada ya kutimiza masharti yote ya dhamana yake yaliyo tolewa na mahakama kuu.
Mara baada yakutoka Lulu alieyeonekana akiwa mwenye majonizi na furaha kiasi aliomba watanzania wote wamuombee maana hii ni dhamana tu na kesi yake bado inaendela. Ali washukuru watu wote waliokuwa pamoja nae katika mkasa huuu  amabao bado unamzunguka na pia alimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwa pamoja nae katika kipindi chote cha matatizo yanayo mkablia.
Wakili wake Ndugu Flugence Massawe amesema kwamba hii ni hatua ya kwanza kwasababu case bado inaendelea. Kwa sasa wanasubiri mahakama itoe tarehe ya Lulu kurudi mahakamani.

Young Dee ft Mr. Blue - Hujali

Young Dee ft Mr. Blue

Bunge Limeunda Kamati Maalumu Kwenda Mtwara Kutafuta Suluhu

Spika wa Bunge bi Anne Makinda
Spika wa Bunge bi Anne Makinda amesema Bunge limeunda Kamati Maalumu kwenda mkoani Mtwara kutafuta suluhu kuhusu suala la nishati ya gesi, iliyopatikana mkoani humo. Spika Makinda ameyasema hayo wakati akiahirisha kikao cha Bunge kilichoanza leo Mkoani Dodoma.
Spika amesema matokeo ya Kamati hiyo Maalumu yatawasilishwa kujadiliwa Bungeni. Iddi Maalim wa TBC anaripoti katika taarifa iliyosomwa saa saba mchana ifuatavyo:
Bunge sasa linaunda Kamati ambayo itakwenda Mtwara, kuwasikiliza Wananchi halafu ndani ya kikao hiki –mkutano huu unaofanyika– Kamati ya Bunge itakuwa imekwenda Mtwara, itawasikiliza Wananchi, italeta masuala ambayo yanazungumzwa kule Mtwara kisha yatajadiliwa.

Hili alikuwa analizungumza baada ya kusema kuwa amepokea vikaratasi na maombi mengi kwamba Bunge lijadili suala la Mtwara, gesi kama suala ambalo ni la dharura.
Lakini akasema kwamba, ile hoja si ya dharura na akaeleza pia ukweli kwamba Wabunge ambao wanasema lijadiliwe kama suala la dharura wengi wao hawalifahamu kwa undani, kwa hiyo badala ya kujadili jambo ambalo hawalifahamu kwa undani, ni afadhali ataunda kamati ambayo itakwenda Mtwara ikirudi itakuja na majibu, na mapendekezo ya Wananchi na ndipo Bunge litajadili ndani ya Mkutano huu wa kumi.

Largest Tree in South Africa, if not The World!

Sagole Baobab Tree
The Sagole Baobab is located in the far north of South Africa in the Limpopo Province. It is thought to be around 3000 years old and with a trunk diameter of over 43metres and a crown of over 38 meters, it is one of the largest Baobabs in the country, if not the world! As well as one of the biggest living things on earth. 
Sagole Baobab Tree

Crazy Kidaba's Booty hop

Afcon's Ghana vs DR Congo match, Sunday 20 January 2013, PE's Nelson Mandela Bay Stadium.Congo was way behind Ghana in the second half of the match at a score of 2-1 but things started to look up after Congo's striker Dieumerci Mbokani was awarded a penalty for a foul in the 69th minute..bless their silver lining, the striker scored! And their Goalkeeper Robert Kidaba,celebrated in a quite peculiar way...or as the commentators call it
“bum bunny hop”
http://25.media.tumblr.com/64722cf76103846a6ac22d3ee84bd14d/tumblr_mh0nw4Uj4V1qaznnlo1_500.gif

Best Fails of the Week 4 January 2013

Jokate Mwegelo na Martin Kadinda, Kashfa ya Kumiliki Danguro S.Africa

Jokate Mwegelo na Martin Kadinda,
Jokate Mwegelo na Martin Kadinda,
WANAMITINDO maarufu Bongo, Jokate Mwegelo na Martin Kadinda, wamekanyaga kashfa nzito baada ya kuhusishwa na umiliki wa danguro la wasichana nchini Safrika Kusini ‘Sauzi’Akizungumza msichana aliyejitambulisha kwa jina la Hilda Andrew alisema kuwa alikumbana na mkasa mzito baada ya kuchati na mrembo aliyejitaja kwa jina la Jokate na kumwambia kwamba anataka kumuunganisha kuwa mmoja wa wanamitindo wake nchini Afrika Kusini.
Msichana huyo alitiririka kuwa alikuwa akichati mara kwa mara na mwanadada huyo akijua ni Jokate hadi wakawa wanapigiana simu huku akimwambia kuwa yuko Sauzi akiwaandaa wanamitindo aliowapeleka kwa ajili ya onesho lililokuwa likifanyika nchini humo.
Aliendelea kutambaa na mistari kuwa baadaye mwanamke huyo alimwambia amemuachia maagizo Martin Kadinda ambaye angemuona na kumpima nguo kwa ajili ya kwenda nazo kwenye ..

Mkasi With Lundenga