WIZARA ya Uchukuzi imewatimua kazi Wakurugenzi wa 3 na Mameneja 2 wa Waliokuwa Watumishi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Makao Makuu Dar es Salaam. Akitangaza Uamuzi huo kwa Wana Habari Ofisini kwake, Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema kuwa katika taarifa yake aliyo isoma kuwa Wakurugenzi hao walitimuliwa kazi kwa nyakati tofauti baada uchunguzi wa Tuhuma zilizokuwa zikiwakabili kukamilika ikiwa ni pamoja na watuhumiwa kuhojiwa.
Kubwa zaidi lililowapelekea wakubwa hao wa TPA kuachwa nje ya Meli ya Dk. Mwakyembe ni Matumizi mabaya ya Madaraka na Ubadhirifu wa Mali ya Umma na kuitia Hasara serikali na huenda Bodi ya Wakurugenzi ikijiridhisha ikawafungulia Mashitaka Mahakamani.
Dk. Mwakyembe ambaye yupo mstari wa mbele katika vita dhidi ya ubadhirifu wa Mali za Umma kwa kuwashughulikia ipasavyo watendaji wa Sekta zake zote hasa TPA na ATC, aliwataja walio timuliwa kazi kuwa ni ...