Pages

Top 10 African Films of 2012, Bongo Movie Chali!

Kwa mujibu wa mtandao maarufu barani Afrika wa africasacountry.com Filamu hizi zimo katika list ya 10 bora kwasababu ni movie zilizo wekezwa kwa burget kubwa na hatimaye kuwa bora na kupata soko kubwa barani Ulaya na Marekani.
Zikiwa katika mitindo, mandhari na maudhui tofautitofauti Filamu hizi zimeweza pia kuoneshwa katika majumba makubwa ya Sinema duniani.
Lakini mtandao huu umetoa nafasi kwa wadau wenyekipingamizi kuweka mambo wazi, kama kuna Filamu iliyo bora zaind ya hizi.., na kwa maoni ya Mo blog ni vyema tukazitafuta Filamu hizi tukazitazama na kupima ubavu wetu na waafrika wenzetu. Ni kweli hatustali kuwa katika 10 bora????!!!!

Dear Mandela (South Africa)
The Curse
The Curse (Morocco)
When China Met Africa
When China Met Africa (UK)
The films of the Mosireen Collective
The films of the Mosireen Collective (Egypt)
Kempinski
Kempinski (Mali)
The 9 Muses
The 9 Muses (UK)
Tey
Tey (Senegal)
Otelo Burning
Otelo Burning (South Africa)
Cursed Be The Phosphate
Cursed Be The Phosphate (Tunisia)
Mo blog

Jifunze Afya ya Uzazi - Reproductive Health

Baada ya Diva Kuiponda Ngoma ya Baucha Kelele

Diva
   Baada ya mwana dada Diva ambae ni mtangazaji wa radio kusema ngoma ya kelele aliyoimba Baucha akishirikiana na Ally kiba kuwa n mbovu.Mtu mzma Baucha atoa ya moyoni kupitia account yake ya Facebook,Baucha
Seif Kabelele

Asiyeipenda Bodi Mpya TPA Aache Kazi ;Dk Mwakyembe

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari(TPA
WAZIRI wa Uchukuzi Dk Harisson Mwakyembe amewataka Wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari(TPA), wasioikubali bodi aliyoiteua hivi karibuni kuachia ngazi mara moja na kwamba watalipwa stahiki zao.
Akizungumza na wafanyakazi wa bandari hivi karibuni ambapo aliitambulisha bodi mpya ya TPA yenye wajumbe nane jijini Dar es salaam, Dk Mwakyembe alisema yeyote ambaye anahisi hataweza kufanya kazi na bodi hiyo anaweza kujiengua mwenyewe. Kuteuliwa kwa bodi hiyo kunatokana na kuvunjwa kwa bodi ya awali iliyobainika kutokuwa na ufanisi katika utendaji wa kazi jambo ambalo limesababisha TPA kukosa mapato huku wachache wakinufaika.

Mwakyembe alisema bodi hiyo itakuwa na wajumbe wanane na itaongozwa na Raphael Mollel, na amewataka wafanyakazi kuipa ushirikiano ili kutimiza malengo waliojiwekea.
“Bodi hii ni mpya naomba tuipe ushirikiano ili tuweze kufanikisha malengo yetu tuliyojiwekea,” alisema Dk Mwakyembe.
Pia Mwakyembe aliwataka walioIngia kwa njia zisizo halali ikiwamo kuingizwa na ndugu zao wajiandae, kwani katika suala hilo hatakuwa na mchezo katika lengo la kuisafisha bandari.
“Nadhani wenyewe wanajitambua hivyo wajiandae, hatuko hapa kwa ajili ya kubebanabebana na matokeo yake ni ufanisi wa kazi kuwa mbovu na tutaanza kuwashughulikia siku chache zijazo,” alisema Dk Mwakyembe.
Mwananchi

Adam Mchomvu Ametangaza Ruksa Video ya Jonii Itengenezwe na Wewe

Jonii


"Yes, kama kumbukumbu zako zitakuwa poa basi haina shaka utakuwa unakumbuka kama Jumamosi iliyopita nilitoa ruhusa kwa mtu yeyote anaona anaweza fanya video ya ngoma yangu matata ya 'Jonii' amabayo kitambo kidogo ilisumbua kwenye gemu lakini nilikuwa sijagonga kichupa chake kwa masababu kibao tu".Ni maneno ya Baba Jonii, Mfate hapa http://mchomvuink

ROMA 2030 Intro

Roma

Kipanya Loe

 Kipanya LEO

Don Omar - Zumba Campaign Video

Scam Series #2

Scam
  Dear Friend,
I am Mr Jida James, a chartered chief auditor with BANK OF AFRICA of Burkina Faso Ouagadougou West Africa. I got your contact address from your country through online directory. Your impressive and managerial records made me to solicit for your partnership in these regards. You are the only person that I have contacted for this business and with the trust that you will not let me down.

After going through some old files in the records during the audit for the year in my own department which I am heading now, I discovered that there was an account opened in this bank since 2000 and since then till now nobody has operated on this very account.
  The owner of this account as I discovered from the bank record secretly , is Late Mr. Jerome N. Snaga, a foreigner and a miner at the Anglo Gold Platinum Mining Company in Mafikeng Burkina Faso, as a geologist by profession and he has died since 2001 and Up till now, no other person knows about this account or anything concerning this money, no other persons name or group was ...

Ufahari wa kwenye misiba Uonesheni Kwenye Ugonjwa wa Mzee Small

Mzee Small 
Staa wa Vichekesho na Filamu Bongo, Said Mohamed Ngamba ‘Mzee Small’ akiwa amelazwa hospitali kutokana na maradhi yanayomsumbua.
KWENU mnaohusika na sanaa ya filamu Bongo. Mnajitambua sina haja ya kuwataja mmojammoja kwa majina, nitamaliza ukurasa bure.
Mimi najua mpo poa, mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Binafsi niko poa, naendelea na majukumu yangu ya kila siku ikiwamo hili la kuwaandikia barua.
Barua yangu leo moja kwa moja nailekeza kwa nyinyi wote ambao watu sasa hivi wanawatambua kwa jina la mastaa wa filamu katika soko la Bongo, Bongo Movies.
Kikubwa ni kwamba, natambua mchango mlionao katika kusogeza gurudumu la maendeleo ya nchi. Natambua umuhimu wenu wa kuwatibu watu kisaikolojia kupitia filamu zenu mnazozifanya.
Hongereni kwa hilo.Katika taaluma yangu ya uandishi wa habari, mara kadhaa nimeshuhudia uwezo wenu katika kufanikisha mambo yanayowahusu, iwe ni sherehe au misiba.
Eeeh, kwenye sherehe basi mnalipuka na kushangweka kwelikweli. Kwenye misiba, mnahakikisha ...