Pages

Young Killer ft Belle 9 - Dear Gambe

Young Killer ft Belle 9

JWTZ Linamsaka Askari Aliyepiga Picha na CHADEMA

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limeshitushwa na kusikitishwa kuona taarifa ya mtu aliyejitambulisha kuwa askari wa JWTZ wa Kambi ya Monduli, Arusha, iliyochapishwa katika gazeti la Mwananchi la Desemba 24, 2012 akiwa amevaa sare za JWTZ.
Baada ya kuona habari hii JWTZ linafanya uchunguzi wa kina ili kutambua kama mtu huyo ni askari wa kweli au la.
Kimsingi, JWTZ linafanya uchunguzi wa kumtambua mtu huyo kama kweli ni askari wake kwa sababu zifuatazo; kwanza Jina la mtu huyo halijaandikwa, pili kikosi halisi cha mtu huyo hakijaandikwa kwani eneo la Monduli lina vikosi vingi na hakuna kikosi kiitwacho Monduli.
Lakini pia inatia shaka kuwa mavazi yale siyo yale yanayotumika kwa wanajeshi wa JWTZ hivi sasa, kuna tofauti kati ya jampa (jacket) na suruali kama ilivyooneshwa katika picha hiyo.

Aidha, jampa la sare hiyo pia lina tofauti katika sehemu za mikono, jambo ambalo linatia shaka kama ni sare halisi ya JWTZ. Ilikuwa rahisi kumtambua mtu huyo kwa kuangalia uso, lakini mtu huyo anayedaiwa kuwa ni askari alifunika paji la uso ili asitambulike.
Pamoja na hali hiyo ilivyojitokeza, JWTZ linashughulika kumtambua mtu huyo kwa kutumia mbinu mbalimbali.
JWTZ litakapobaini ukweli huo, hatua za kinidhamu zitachukuliwa kutokana na Kanuni za Majeshi ya Ulinzi kwani, Sheria nambari nne (4) ya mabadiliko ya nane (8) katika Katiba ya Nchi ya mwaka 1992 ibara ya 147(3), mwanajeshi yeyote hatakiwi kujihusisha katika masuala ya kisiasa.
Kama ilivyoelezwa hapo juu, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limesikitishwa kuchapishwa kwa picha hiyo kwani hakuna tija wala faida kwa wananchi wa Tanzania zaidi ya kuwatia hofu kuwa Vyombo vya Ulinzi navyo vinashabikia mambo ya siasa, wakati Katiba ya nchi imekataza jambo hilo.
JWTZ linawaomba wananchi waliangalie jambo hili kwa makini, kwa usalama wa nchi yetu.

Kwa Afya

Kibonzo

Birdman Buys 2 2012 Bentley Coupes For Wayne and Rolls Royce Ghost For Mack Maine

Vote For New Seven Natural Wonders of Africa

New Seven Natural Wonders of Arica
Tanzania Tourist Board (TTB) wishes to inform Tanzanians and the general public that the competition to vote for entries into the list of SEVEN NATURAL WONDERS OF AFRICA, conducted via the Website, http://sevennaturalwonders.org involving twelve (12) tourist attraction sites on the African continent will come to an end on December 31, 2012. Tanzania was the only blessed country with the most entries in the list: these are Mount Kilimanjaro, the Ngorongoro Crater, and the Serengeti National Park.
Tanzania Tourist Board, would like to take this opportunity to sincerely thank all those who voted for Tanzania tourist attractions and requests all those who have not yet casted their votes to seize this opportunity and vote for the entry of all the Tanzania tourist attractions into the list of the NEW SEVEN NATURAL WONDERS OF AFRICA.
Issued by the Managing Director
TANZANIA TOURIST BOARD

Zola D ft P Funk - Knock Out

Young Killer Ndani ya Bongo Flavor Ndani ya Clouds FM

Obesity Killing Three Times as Many as Malnutrition!!

Obesity
Obesity is now killing triple the number of people who die from malnutrition as it claims more than three million lives a year worldwide, according to a landmark study.
increasing prosperity has led to expanding waistlines in countries from Colombia to Kazakhstan, as people eat more and get less everyday exercise

By Stephen Adams, Medical Correspondent
With the exception of sub-Saharan Africa, eating too much is now a more serious risk to the health of populations than eating poorly, found the Global Burden of Disease study, published in a special edition of The Lancet.
Across the world, there has been significant success in ...