Pages

Young Killer Ndani ya Bongo Flavor Ndani ya Clouds FM

Obesity Killing Three Times as Many as Malnutrition!!

Obesity
Obesity is now killing triple the number of people who die from malnutrition as it claims more than three million lives a year worldwide, according to a landmark study.
increasing prosperity has led to expanding waistlines in countries from Colombia to Kazakhstan, as people eat more and get less everyday exercise

By Stephen Adams, Medical Correspondent
With the exception of sub-Saharan Africa, eating too much is now a more serious risk to the health of populations than eating poorly, found the Global Burden of Disease study, published in a special edition of The Lancet.
Across the world, there has been significant success in ...

Unbelievable Mumbai Train Death Defying Railway Stunts

Hekaheka ya Dec 21 Kuhusu Housegirl Aliezikwa na Houseboy!!

Mahojiano ya Wadau wa Filam na Muziki -147 Critics, Dr. Vicensia Shule


Mahojiano haya yametokana na
-C. Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, SURA 147
98. Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho
katika Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, SURA 147 kama ifuatavyo:-
ii. Mheshimiwa Spika, kumekuwa na kilio cha muda
mrefu cha wasanii kudurufiwa kazi zao za sanaa na
kukosa maslahi kwa kazi wanazofanya. Ili kutatua tatizo
hili, Serikali kupitia Mamlaka ya ...

Alichoandika Nape Nnauye Kuhusu Ushindi wa Godbless Lema

Godbless Lema

Mapokezi ya Mh.Lema Yanavyoendelea



Mapokezi ya Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema katika jiji la ...

Fidstyle Friday Week ya 34,35 na 36 with Mansu-Li, Illmatix na Tifah



Lulu Aachiwa kwa Dhamana!?!

Lulu
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam jana december 21 2012 imefunga jalada la kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili mwigizaji Elizabeth Michael maarufu kama Lulu tayari kwa kulipeleka Mahakama kuu ya Tanzania ili hiyo kesi ianze kusikilizwa.
Kabla ya kusomwa kwa maelezo ya kesi hiyo ambapo Lulu hakutakiwa kujibu chochote kutokana na Mahakama ya Kisutu kutokuwa na mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo, Hakimu wa Mahakama ya Kisutu Augustina Mmbando amemtaka wakili wa serikali kutaja idadi ya mashahidi watakaotoa ushahidi wao wakati kesi hiyo itakapoanza kusikilizwa.
Wakisoma kwa awamu maelezo ya mashahidi wa kesi hiyo, mawakili wa serikali kwenye hiyo kesi wamesema wanao mashahidi tisa wanaotarajiwa kuwatumia kwenye kesi na kuongeza kwamba shahidi namba moja ni Seth Bosco mdogo wa Marehemu Kanumba waliekua wakiishi pamoja.
Kwenye maelezo yaliyosomwa na Seth mahakamani, imeelezwa kwamba siku ya...

Lord Eyes ft Ben Pol - No More Drama

LORD EYES