Pages

Mungine Huyoo Amenaswa Akiwa Anawanga Mahakamani

Uchawi 
MKAZI WA Kerege, Muheza Tanga, akiwa chini ya ulinzi wa wanausalama leo saa mbili asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, baada kifaa maalum cha upekezi kumnasa mganga huyo akiwa na vifaa hivyo vya uganga ambavyo alikuwa amekuja navyo mahakamani hapo kwaajili ya kufanyia mambo ya kishirikina katika kesi moja inayomkabili
mmoja wa washtakiwa mahakamani hapo. Hongereni sana wanausalama kwa kazi nzuri ya kumnasa mtu huyo kwani mmesaidia kuvuruga azma yake.
Chanzo Habarimpasuko@gmail.com

97 Year's Old Man Writes Full Quran on 8 Eggs!!





Quran,
Quran,
Quran
Quran
Quran
Subhanallah... Speechless!

Video ya Majambazi Kuiba Tsh. Mil 150 na Kuuwa Watu 2 Jijini DSM


Risasi zimerindima katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es salaam na kusababisha hali ya taharuki baada ya majambazi kuiba shilingi milioni 150 na kuuwa watu wawili kwa kuwapiga risasi na kujeruhi wengine huku baadhi ya maduka kufungwa.

Watch Amazing Strength of Air

This is a pretty old trick but still very impressive. If you take a wooden ruler and lay it on the edge of a table and try to break it by bringing a force down on it, the ruler will just fly off of the table. But when you lay a piece of paper on top of the ruler then the surface area that the air is resting on is much greater than it was when it was resting on the ruler alone.
So with all of the air pressure on the newspaper, the ruler is unable to move when quick force is applied to it, causing the ruler to break. Give this trick a try, but be careful, the ruler can fly up and hit your face or hit an object in the house.

The First Transparent Car in The World - Ghost Car

DarSlam
Pontiac 1939 Ghost Car is equipped with panel plexiglass which allows to to see how it looks from inside. Originally constructed in 1939-1940 as part of the exhibit Futurama. The car ghost was recently sold at an auction for an undisclosed amount . ( $ 475,000 . )
DarSlam
Pontiac 1939 ghost car
Pontiac 1939 ghost car

Kiumbe wa Ajabu Azaliwa Mbeya

Darslam
Katika hali ya kusikitisha Mtoto wa ajabu amezaliwa mkoani mbeya ambapo macho yake yako katikati ya paji la Uso hana Pua ila ana mdomo.

2014 Mercedes Benz E-Class Sedan and Wagon unveiled

Mercedes-Benz
 German automobile giant, Mercedes Benz, is preparing for the way ahead and has recently unveiled the 2014 Mercedes-Benz E-Class officially. The first look of the car includes nearly 70 pictures that portray the cars exterior and interior, inch-by-inch. The model will be available in two variants, a sedan and a wagon. Both packing efficient insides, the E-Class Sedan and Wagon each use a host of safety features to make your drive more relaxed, including Mercedes Benz’s “intelligent drive.”Complete with Active Lane Keeping Assist and anti-glare continuous high-beam headlamps, these cars push safety standards to a new high.
Mercedes-Benz
The company has also managed to retain its “four-eyed” headlight setup, using daytime running lights to the cars’ advantage. The cars are also available in two front designs – theLuxury version with the classic sedan grille and the Sport version with the sports grille and integrated star. Using seven-speed transmissions, ECO start/stop systems and more, Mercedes Benz’s latest releases are bound to take the automobile world by storm on release!
Mercedes-Benzmercedes-benz-e-class-
mercedes-benz-e-class

Ugumu wa Maisha Wapelekea Kijana Kujifanya Mchungaji

DarSlam
Kijana ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja kutokana na hali aliyoionyesha akiwa anaongea kwa lugha ambayo haieleweki na huku akilia kwa sauti hadi kupelekea watu kujazana na kutaka kujua anachofanya mbele ya gari hilo huku biblia ikionekana kwa karibu.
DarSlam
Hapa sasa Chanzo cha Yeye Kulia na Kunena kwa lugha kama walokole wanavyofanya kikajulikana huku alipodai kuwa kwenye gari hilo kuna majini ndio maana ameamua kuliombea ili watoke.
DarSlam
DarSlam
Mchungaji Jina akilia kama huku akiwa anatoa maneno yasiyoeleweka kwa kujifanya yeye ni mchungaji na hapo akiombea gari hilo analodai kuwa lina mapepo
DarSlam
Baadhi ya wakazi wa eneo la Mtaa wa Msimbazi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumshangaa kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja baada ya kujifanya mchungaji huku akidai kuwa gari hilo mbele yake lina mapepo na ndio maana ameamua kuliombea hili yaweze kutoka. hayo yote yametokea jioni ya leo kwenye Mtaa wa Msimbazi karibu na Kituo cha Daladala cha Mbezi.

Is Justin Bieber Illuminati? "Baby" EVIL MESSAGES REVEALED!!

Cassidy - Gangnam Style ReMix

Gangnam Style ReMix