Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akikabidhiwa gazeti jipya la Dar Metro na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto (kulia), ofisini kwake Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure kwa wasomaji.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akisoma gazeti jipya la..