Trinidad James, New video. Too based. Too cray. WorldWide News!!
Trinidad James - All Gold Everything
Trinidad James, New video. Too based. Too cray. WorldWide News!!
Kenya Launches Gay and Lesbian Awards
The Kenya Human Rights Commission and the National Gay and Lesbian Human Rights Commission (NGLHRC) on Saturday launched the first gay and lesbian awards. The event, held at Charter Hall honoured Lesbians, Gays, Bisexuals, Transsexual, Intersex and Queer (LGBTIQ) individuals for their contributions to the Kenyan Society. Politicians, employers and journalists who are committed to advancing equality and social acceptance for LGBTIQ individuals in Kenya were also awarded.
Angalia Video ya Mbuzi Aliyezaa Mtoto Nusu Binaadamu
Mombasa kumetokea maajabu ya kipekee. Treni imeteleza na kuanguka kutoka kwenye reli, lakini la kushangaza zaidi ni tukio la mbuzi aliyezaliwa akiwa na maumbile ya mwanadamu.
Mlete Mwathirika wa Dawa za Kulevya, Pili Missanah Foundation
Mahojiano na Dada Pilli Misanah mwanzilishi na Mkurugenzi wa kituo cha Pilli Misannah Foundation "Back to life sober house" iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam
Pili Missanah
P. O. Box 1281,
Dar es Salaam, Tanzania.
Cell: +255715744464 au +255757858563 au +255713118996
Email: pilimisanah@yahoo.com

Angalia Video ya Mwanajeshi Mstaafu Akidaiwa kuua Mtoto
Mwanajeshi mstaafu Samwel Haule wa eneo la Amboni mafuriko jijini Tanga anadaiwa kumuua mtoto mlemavu wa viungo mwenye umri wa miaka 17 Risala Ally kwa kumkata kwa kisu sehemu za tumboni na kusababishautumbo kumwagika hatua iliyoharakisha kifo chake muda mchache baada ya kufikishwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga Bombo.
Mwaka Mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib
Bilal ameongoza waumini wa Kiislamu kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu
katika hafla iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istikaama (ISTIQAAMA) tawi la
Dar es salaam.
Sherehe hizo za kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya ambazo zilifanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam zilihudhuriwa na waumini wa Kiislamu kutoka nchi mbalimbali pamoja na mabalozi wa Sudan, Oman na Iran nchini Tanzania.
Akizungumza na waumini hao Dk. Bilal aliwataka Waislamu kuuanza mwaka mpya wa Kiislamu kwa kuepuka machafuko na kudumisha amani ambao ndio msingi mkuu wa dini ya Kiislamu.
“Machafuko hayo yametufanya tujiulize hawa watu wanafuata misingi ipi ya Dini ambayo imewafanya wao wawe na jazba kiasi cha kushindwa kuwa na busara katika maamuzi yao. Je ni vipimo vipi vya msingi wa Dini ambavyo wao wanavifuata. Tunashindwa kupata jawabu”.
Makamu wa Rais aliwaeleza waumini hao kuwa kwa mawazo yake anaona matatizo mengi yanayolenga Uislam ni ukosefu wa elimu, ile ya Uislam wenyewe, na elimu ya dunia na kuwataka Waislamu kusoma kwa dhati jambo ambalo anaamini linaweza kusaidia mambo ya jazba yakapungua na hatimaye kutokomea kabisa.
“Tukiendeleza jazba ndio ziwe na nguvu kuliko mafunzo ya Quran tukadhani kuwa mwenye jazba ndiye Muislamu wa kweli tutaharibikiwa,” alibainisha. Akisoma risala ya Jumuiya hiyo, Sheikh Juma Nassor Alhinai aliiomba serikali kuifanya siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiislamu kuwa ni ya mapumziko
Naye Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, AlhajiMussa Salum alikubaliana na wazo hilo lakini aliwataka Waislamu wenyewe kubadilika kwa kuitangaza tarehe hiyo ya kwanza ya mwaka mpya kwa kuipa nafasi katika maisha yao ya Kiislamu ili iweze kutambulika ipasavyo.
Sherehe hizo za kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya ambazo zilifanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam zilihudhuriwa na waumini wa Kiislamu kutoka nchi mbalimbali pamoja na mabalozi wa Sudan, Oman na Iran nchini Tanzania.
Makamu wa Rais alisema katika serikali wameanza kuingia wasi wasi kutokana na vurugu za hivi karibuni ambazo zimeashiria kuvunjika kwa amani nchini.
“Mimi na wenzangu Serikalini tumeanza kuingia wasi wasi. Hivi karibuni katika nchi yetu kumetokea vurugu ambazo hatimaye zimeashiria kuvunjika kwa amani ya nchi yetu. Mali zimepotea na wengine wamepoteza maisha kwa kisingizio cha dini,” alisema Dk. Bilal na kuongeza “Machafuko hayo yametufanya tujiulize hawa watu wanafuata misingi ipi ya Dini ambayo imewafanya wao wawe na jazba kiasi cha kushindwa kuwa na busara katika maamuzi yao. Je ni vipimo vipi vya msingi wa Dini ambavyo wao wanavifuata. Tunashindwa kupata jawabu”.
Makamu wa Rais aliwaeleza waumini hao kuwa kwa mawazo yake anaona matatizo mengi yanayolenga Uislam ni ukosefu wa elimu, ile ya Uislam wenyewe, na elimu ya dunia na kuwataka Waislamu kusoma kwa dhati jambo ambalo anaamini linaweza kusaidia mambo ya jazba yakapungua na hatimaye kutokomea kabisa.
“Tukiendeleza jazba ndio ziwe na nguvu kuliko mafunzo ya Quran tukadhani kuwa mwenye jazba ndiye Muislamu wa kweli tutaharibikiwa,” alibainisha. Akisoma risala ya Jumuiya hiyo, Sheikh Juma Nassor Alhinai aliiomba serikali kuifanya siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiislamu kuwa ni ya mapumziko
Naye Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, AlhajiMussa Salum alikubaliana na wazo hilo lakini aliwataka Waislamu wenyewe kubadilika kwa kuitangaza tarehe hiyo ya kwanza ya mwaka mpya kwa kuipa nafasi katika maisha yao ya Kiislamu ili iweze kutambulika ipasavyo.
Picha na OMR
Subscribe to:
Posts (Atom)