Pages

Jay-Z & Kanye West - Ni**as In Paris,Explicit


U Heard ya XXL Clods FM 14th Dec 2012


Safari ya ‘Mtanzania tembelea Tanzania’ Kuanza Kesho


LakeLAND
KAMPUNI ya Lakeland Africa kesho itaanza safari ya ‘Mtanzania tembelea Tanzania’ kwa siku 14 kwa lengo la kukuza utalii wa ndani na kujenga utamaduni wa Watanzania kutembelea vivutio vya utalii nchini.
Safari hiyo itakayoanzia Mlimani City Dar es Salaam kesho inatoa fursa kwa watanzania kutembelea vivutio mbalimbali ikiwemo Hifadhi ya Saadan, Pangani, Lushoto, Tarangile, Olduvai Gorge, Lake Manyara, Ngorongoro na Serengeti na pia watapata nafasi ya kutembelea kijiji cha Butiama alikozaliwa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere na kuzuru katika kaburi lake.
LakeLAND
“Lakeland Africa sasa itaendesha safari za namna hii kuhimiza watu kutembelea vivutio vya utalii nchini kwa kauli mbiu ya ‘kuwa mtalii ndani ya nchi yako”
Kuanzia mwezi januari mwakani Lakeland Africa itaendesha safari za..

Frayzee TheAfricanPrince - West Coast get bigger HQ


Kikaragosi

DarSlam

Mr Bean's Back to Bombay

Mr Bean
DarSlam

Tightest Parallel Parking Record - Guinness World Records


     One of our most popular world records over recent years has been the hotly contested tightest parallel parking title. The record has changed hands five times in the past two years, with our video of German driving ace Ronny Wechselberger 's successful attempt last year becoming something of an internet sensation with viewing figures hitting the millions.
    When Patrik Folco neatly slid his way into a gap measuring just 22 cm (8.66 in) longer than the car he was driving last month it set a benchmark that looked unlikely to be broken. However, the record has indeed once again been smashed , this time by Chinese master wheelman Han Yue. Han last week managed to shave off an incredible 7cm from the record, drifting into a space of just 15 cm (5.91 in) longer than his vehicle during an attempt at the launch in Beijing of a new special edition of the Mini called The Chinese Job.

Africa’s Top 15 Biggest Companies

DarSlam
15. SAPPI
$6.57 billion
Paper is still big business, but SAPPI is even bigger. Known for its giant paper-making operation, the company actually services a much broader range of industries. For example, it provides fibres for clothing and has stakes in the pharmaceutical industry. Overall SAPPI products are used by companies in over 100 countries. It has manufacturing operations on three continents and is the world’s largest producer of chemical cellulose

14. Anglo Platinum Corp.

$6.92 billion
Though the recent strikes in South Africa are bound to impact its earnings, Anglo American’s platinum division remains one of the strongest industrial forces on the continent. It is the largest producer of platinum in the world and responsible for 40 percent of the metal’s newly-minted output each year. AngloPlat runs numerous joint-ventures in Africa and operates over 8 mines in Southern Africa.

13. Massmart Holdings

$7.1 billion
Even if you did not hear about Massmart before, its name became commonplace when Walmart purchased a sizable share of the company. This retail giant controls stores such as..

Rais Jakaya Mrisho Kikwete Azindua Mrad wa Nyumba za Gharama Nafuu

Ikulu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata utepe kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012, akiwa pamoja na Mama Salma Kikwete, Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, Naibu Waziri wa..

Taarifa ya Msiba Japan

Hemed Bawaziri
Ndugu Viongozi Wenzangu, Kama ambavyo wengi wenu mmshapata habari, na pia kushiriki. Kwa wale ambao taarifa hii haijawafikia, naomba niwajulishe kuwa, tumefikwa na msiba. Tumeondokewa na kijana mwenzetu Ahmed Bawazir. Ni kijana mtaratibu, mcheshi na mwenye heshima kwa kila mtu. Kijana ambaye amefariki katika umri mdogo (30's), na ameacha mke na mtoto mmoja. Bwana Prosper na familia yake wamejitahidi kwa kila hali kumsaidia ili kuokoa maisha yake, lakini Mwenyezi Mungu ameamua vinginevyo, na hatuna budi kumshukuru, na kuendelea kumuombea ndugu yetu apumzike pema Peponi. Kama kawaida yetu tujitahidi kujumuika na..