Majambazi Wavamia Msafara wa Maiti Singida na Kupora Zaidi ya Milioni 19 Na Kusachi Jeneza!

Gari aina ya Land Cruiser mali ya chuo cha SUA cha mjini Morogoro kama linavyoonekana baada ya kupigwa mawe na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi nje kidogo ya mji wa Singida.Watu wasiofahamika idadi yao na ambao wanadhaniwa kuwa ni majambazi, wamevamia gari lililokuwa linasafirisha maiti kutoka Morogoro mjini hadi mkoa wa Mara na kupora zaidi ya shilingi milioni 19.8.
Baada ya kumaliza zoezi la uporaji huo, majambazi hayo yalishusha jeneza na kisha kulifumua na kuanza kulisachi.
Jeneza hilo lilikuwa limebeba mwili wa..
Baada ya kumaliza zoezi la uporaji huo, majambazi hayo yalishusha jeneza na kisha kulifumua na kuanza kulisachi.
Jeneza hilo lilikuwa limebeba mwili wa..
Bi Kidude Avishwa na Rais Kikwete Nishani ya Sanaa na Michezo

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Bi Fatma Baraka Khamis (Bi Kidude)-BASADA, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Bi Kidude, akiwa katika pozi baada ya kuvishwa Nishani yake na Rais Kikwete, huku akiimba wimbo wake wa Laiti, kwa poooozi.
Miaka 7 ya THT Dar Live
Vijana wa THT wakiwasha moto wakati wa sherehe yao ya kutimiza miaka 7 ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Ray C Atinga Ikulu!!! Uso kwa Uso na Rais Kikwete!

Picha na Freddy Maro wa Ikulu.
Raisi Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Ray C, Mama yake mzazi Ray C - Margreth Mtweve na aliyevaa nguo za pinki upande wa kulia ni dada yake na..
Raisi Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Ray C, Mama yake mzazi Ray C - Margreth Mtweve na aliyevaa nguo za pinki upande wa kulia ni dada yake na..
Subscribe to:
Posts (Atom)