KATIKA hali ya kustaajabisha, nyati anayefugwa na raia mmoja anayeishi nje kidogo ya Jiji la Bangkok nchini Thailand amezaa kiumbe kinachofanana na binadamu kwa asilimia 80.
Mashuhuda walisema kiumbe hicho kilichozaliwa hivi karibuni, kuanzia kichwani kwenda hadi tumboni ni mwonekano wa kibinadamu.
Hata hivyo, miguu na mikono yake ina kwato kama za mama yake ambaye..