Pages

Watanzania Wankufa Kimyakimya kwa Asbetos Bila Kuambiwa Ukweli!!

 
Licha ya mabati ya asbestos kupigwa marufuku duniani kutokana na kusababisha saratani na kuathari mazingira, nyumba za serikali zimeendelea kubakia na mabati hayo hali inayotishia afya za familia zinazoishi kwenye nyumba hizo.
Mabati haya nchini yalitumika kwenye ujenzi na pia ilichanganywa na malighafi nyingine kuzalisha bidhaa mbalimbali za viwandani.
Hata hivyo licha ya kukataza matumizi ya bidhaa hizo miaka ya 1990, maelfu ya familia nchini zinaishi kwenye nyumba zilizoezekwa na asbestos bila hatua za kubadilishwa mabati hayo kuchukuliwa.
Gazeti hili lilithibitisha kuwa licha ya kupiga marufuku matumizi ya asbestos hakuna sheria iliyoamuru ziondolewe na kuharibiwa. Nyumba za serikali na za watu binafsi zimeendelea kubaki na mabati hayo licha ya kuhatarisha afya kwa wakazi.
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme (Tanesco) wanaoishi Ubungo jijini Dar es Salaam kwa karibu miaka 40 wameendelea kuvuta sumu ya..

Dar es Salaam Kusimamisha Mabasi Binafsi Yanayotoa Huduma ya Usafiri wa Umma

DarSlam 
Serikali ya Tanzania kuanzia Jumamosi (tarehe 1 Disemba) itaacha kutoa leseni kwa makampuni binafsi ambayo yanaendesha mabasi ya usafiri wa umma jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) ilitangaza.
Pia serikali haitahuisha leseni zilizopo kwa magari binafsi ya usafiri, hata hivyo, yataendelea kufanya kazi hadi vibali vyao vimalizike muda wa matumizi, kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA Ahmad Kilima.
Waendeshaji wa mabasi ya usafiri wa umma ambao wanataka kufanya kazi kama makandarasi wa serikali watapewa leseni za muda hadi mikataba itakapoanza kutumika mwezi Juni 2013.
Harakati hii ni sehemu ya mpango mkubwa wa kubadilisha mabasi madogo na mfumo wa mabasi ya umma yaendayo kasi unaosimamiwa na serikali. Serikali inategemea mpango wa..

Kutana na Mshabki wa Yanga Aliepata Umaarufu kwa Kulia Machozi

Mikke, Polygone and Short wave - I and I

Bakwata Yamkana Sheikh Ponda Mahakamani

Ponda
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limemkana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake, baada ya kudai mahakamani kuwa eneo walilovamia wakidai ni mali ya Waislamu linamilikiwa kihalali na kampuni ya Agritanza.
Katibu Mkuu wa Bakwata, Sheikh Suleiman Lolila alisema hayo jana wakati akitoa ushahidi katika kesi ya jinai inayomkabili Ponda na wenzake 49 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakidaiwa pamoja na mambo mengine kuvamia na kupora ardhi na wizi wa vifaa vya ujenzi.
Akitoa ushahidi wake jana huku akiongozwa na Wakili Mwandamizi wa Serikali, Tumaini Kweka, Lolila ambaye ni shahidi wa kwanza wa upande wa mashtaka alidai kuwa..

Anatibu Magonjwa ya Vichwa Sugu, Matibabu ni Bureee!!

Interview ya Afande Sele Ndani ya XXL

Waliomkata Kidole Sharo Milonea Kisa Pete Wamekamatwa na Polisi!

 Siku kadhaa baada ya marehemu msanii sharomilionea kuzikwa, vile vitu ambavyo vilisemekana kupotea ama kuibiwa wakati wa ajali vimeanza kupatikana.
Akithibitisha habari za kupatikana kwa vitu hiuvyo, swahiba wake wa karibu ambaye alikuwa akiishi na Sharomilionea Kitale amesema amepata taarifa kutoka kwa mwenyekiti wa kijiji kule Muheza Tanga kwamba baadhi ya vitu vimepatikana.
Kwa mujibu wa maelezo yake, vitu ambavyo vilikuwa vimeibwa ni pamoja nasimu mbili aina ya Blackberry na Samsung, Viatu, Cheni, tairi la spea ya gari, Betri, Radio ya gari na shilingi milioni sita taslimu ambazo alikuwa akimpelekea mama yake.
Bwana kitale aliendelea kwa kusema, cha kusikitisha zaidi katika tukio hilo la wizi, ni unyama uliofanywa na wezi hao ambapo baada ya kushindwa kumvua pete kwenye kidole cha msanii huyo, waliamua kumkata kidole na kuondoka na pete hiyo.
Aidha alisema kuwa kwa mujibu wa taarifa alizonazo kutoka kwa mwenyekiti wa kijiji kuna wanakijiji wamerudisha baadhi ya vitu kama..

Did You Know?

End of The World 21 Dec 2012 - Mayan Calendar

DarSlam
The 2012 phenomenon comprises a range of eschatological beliefs according to which cataclysmic or transformative events will occur on 21 December 2012. This date is regarded as the end-date of a 5,125-year-long cycle in the Mesoamerican Long Count calendar. Various astronomical alignments and numerological formulae have been proposed as pertaining to this date, though none have been accepted by mainstream scholarship.
A New Age interpretation of this transition is that this date marks the start of time in which Earth and its inhabitants may undergo a positive physical or spiritual transformation, and that 2012 may mark the beginning of a new era.Others suggest that the 2012 date marks the end of the world or a similar catastrophe. Scenarios suggested for the end of the world include the arrival of the next solar maximum, an interaction between Earth and the black hole at the center of the galaxy, or Earth's collision with a planet called "Nibiru".
Scholars from various disciplines have dismissed the idea of such cataclysmic events occurring in 2012. Professional Mayanist scholars state that predictions of impending doom are not found in any of the extant classic Maya accounts, and that the idea that the Long Count calendar "ends" in 2012 misrepresents Maya history and culture.Astronomers and other scientists have rejected the proposals as pseudoscience, stating that they conflict with simple astronomical observations and amount to "a distraction from more important science concerns, such as global warming and loss of biological diversity"