Serikali ya Tanzania kuanzia Jumamosi (tarehe 1 Disemba) itaacha kutoa leseni kwa makampuni binafsi ambayo yanaendesha mabasi ya usafiri wa umma jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) ilitangaza.
Pia serikali haitahuisha leseni zilizopo kwa magari binafsi ya usafiri, hata hivyo, yataendelea kufanya kazi hadi vibali vyao vimalizike muda wa matumizi, kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA Ahmad Kilima.
Waendeshaji wa mabasi ya usafiri wa umma ambao wanataka kufanya kazi kama makandarasi wa serikali watapewa leseni za muda hadi mikataba itakapoanza kutumika mwezi Juni 2013.
Harakati hii ni sehemu ya mpango mkubwa wa kubadilisha mabasi madogo na mfumo wa mabasi ya umma yaendayo kasi unaosimamiwa na serikali. Serikali inategemea mpango wa..