Pages

Anaomba Msaada Akatibiwe Muhimbili

DarSlam
Bi. Arafa Issa Namaji (Pichani) mwenye umri wa miaka 39 mkazi wa kijiji cha Narung’ombe wilayani Ruangwa Mkoani Lindi anaomba msaada wa haraka utakaomuwezesha kupata matibabu ya uvimbe ulio katika paji la uso.
Tatizo lilianza tangu February 2012, alianza kwa kuumwa na kichwa kwa maumivu makali sana na kipele kidogo kikatokea kwenye paji la uso, hivyo kadri kilipopungua maumivu ndipo kipele kiliendelea kuwa kikubwa hadi kuathiri macho na sehemu ya pua.
Baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya majirani na marafiki walimshauri kwenda hospitali ya wilaya, alipofika daktari alimpa rufaa ya kwenda hospitali ya Ndanda, hata hivyo Ndanda pia wakampa rufaa kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.
Kutokana na kuwa katika hali duni na hana mtu yeyote wa kumsaidia Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa wameichangishana kupata nauli pamoja na hela kidogo ya kujikimu kwa siku mbili, lakini bado anahitaji msaada zaidi wa pesa kwa sababu atahitaji kuishi zaidi Dar es Salaam, wakati akiwa katika hospital ya Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi pamoja na matibabu yake.
Kwa aliye tayari kumsaidia anaweza kuwasiliana na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoa wa Lindi ambae pia ni mwakilishi wa Channel Ten, Abdulaziz Ahmeid kwa namba za simu 0787176221 au 0756696048

Jonii wa XXL

DarSlam
Msikilize Jonii na makeke yake hadi wizarani..

Rose Muhando Awatapeli Kakonko,Kigoma

DarSlam

Jamani Inasikitisha!! Rose Muhando kwa mara nyingine tena KUWADANGANYA WANA-KAKONKO na majirani kuwa anakuja kwenye uzinduzi halafu hafiki kweli huo ni ukristo? haoni kama ni usumbufu kwa kuwahapotezea pesa bila sababu kwakuwa walio wengi hutokea mbali? mi staki kuhukumu wapendwa lkn hata leo hajafika KAKONKO tena mara kadhaa kapigiwa simu bila kupokelewa. Haya jamani labda ni mapenzi Yake Mola
                   Wadau kutoka facebook
Mwili NyumbaKakonko 4 Life
ROSE MUHANDO ACHUKUA MILION TATU SOKO LIMEFUNGWA WATU WAMELIPIA TIKETI WA2 WAMEACHA KAZI ZAO HALAFU HAJATOKEA JAMANI HUU SIO WIZI?
Like · · about an hour ago ·

Wakazi - Abacus

DarSlam
 New Single from Wakazi latest EP titled Abacus. Produced by Bano Stylez. Video was Shot by MannyReel (Creatv Media) and Edited by Hefemistudios (Hefemi Productions) Check ot Official Video HD..

Ay ft Sauti Sol - I Dont Wanna be Alone

DarSlam
Official Video HD...

Juma Nature ft Baby Madaha - Narudi Kijijini

DarSlam
Bongo RecordsShow Bizdefined
Dir:Mike Tee
Show Biz Defined Video..

Tuzo za Channel O

DarSlam

Most Gifted African South Video of the Year
           -Cashtime Fam – Shut it down (Stundee)
Most Gifted Group or Featuring of the year
           -Psquare ft. May D & Akon – Chop My Money
Most Gifted Reggae Dance/Hall
           -Buffalo Souljah ft Cabo Snoop – Styra Inonyengesa
Most Gifted African East
          -AY feat Sauti Soul – I Don’t Want to Be Alone
Most Gifted kwaito
           -Ees feat Mandoza – Ayoba
Most Gifted African West Music video
           -D-Black ft Mo’Cheddah – Falling
Most Gifted R&B Music Video of the year
           -Flavour ft. Tiwa Savage – Oyi [Remix]
Most Gifted AfroPop
           -BrymO – ARA
Most Gifted Hip Hop Video of the Year
           -Ice Prince Zamani- Superstar
Most Gifted Dance Music Video of the Year
           -DJ Cleo – Facebook
Most Gifted New Comer of the Year
           -Davido – Dami duro
Most Gifted Female Video of the Year
           -Zahara – Loliwe
Most Gifted Male Video of the Year
           -D’Banj – Oliver Twist

Kutana na Bob Kinyozi

DarSlam 
Ni kinyozi pekee anaetumia kisu kama zana ya kunyolea!

Fidstyle Friday Week 31 with Stosh, 32 with Racers

DarSlam
Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Fid Q mwenye Ladha kali za Hip Hop anayetamba na ngoma kali mpaka kupelekea kupendwa na mashabiki mbalimbali kutoka na mashairi yake sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba tunafahamu kwamba ana kipindi chake kinachofahamika kwa jina la Fidstyle Friday ambacho kinakuwa kinahusisha wasanii mbalimbali wanaoelezea hisia zao katika game la hapa Tzee,sasa leo Fid Q aliweza kutoa show yake inayorushwa kila friday ambayo inajulikana kama Fidstyle Friday.kwa hiyo kama wewe uli miss basi hii ndiyo time yako ya kushuhudia jinsi akifanya interview na wasanii waliofahamika kwa jina la Racer na Stoshi.!!!!!!!!! wametisha mbayaa.Video..
Imeandikwa na Dj Fetty

Lamborghini Facts!!

DarSlam 
Most of us agree that Lamborghini is a great looking car and I am sure a lot of wealthy people who love cars wouldn´t hesitate to have one in their collection. Cars like Lamborghini Diablo, the Gallardo and the Murcielago are like candy on my eyes. Here is a list of 5 facts you should know about Lamborghini…
Fact 1
Did you know that the fastest Lamborghini, with a reported top speed of 370 km/h, is the Le Mans version of the Murcielago R-GT model. The fastest street model from Lamborghini, with a reported top speed of 340 km/h, is the Murcielago LP640. Both of the models have a V12 engine with more than 6000 cc.

Fact 2
Did you know that Lamborghini used to be an independent company, but went bankrupt in 1978 and was sold to Chrysler. In 1998, the German company, Audi AG, became the owner of Lamborghini.

Fact 3
Did you know that most of the Lamborghini models are produced with a V12 engine, even though the newest model, Gallardo, have a V10 engine oil. No Lamborghini have ever been produced with less than a V8 engine.

Fact 4
Did you know that the first Lamborghini was produced in 1963 and called for the 350GTV. With a top speed of 280 km/h, the 350GTV was extremely fast back in 1963. The first Lamborghini to go faster than 300 km/h came out in 1974 and was called for the Countach.

Fact 5
Did you know that the Countach, the Diablo and the Murcielago all have scissor doors (that rotate up and forward on a hinge near the front of the door), but the Gallardo does not. Both the Diablo and the Countach are no longer being produced, so the only Lamborghini car with scissor doors today is the Murcielago.