Wakili wa Lord Eyez Afunguka Kutokana Kesi ya Wizi wa Msanii Huyo
Msanii wa Bongo Fleva kutoka A town city almaarufu kama Lord eyez ambaye siku za hivi karibuni alikabiliwa na kesi ya kuiba vifaa vya gari sasa
Latest Info ni kwamba msanii huyu pamoja na Wakili wake waliamua kuweka wazi juu ya kesi inayomuanda hivi sasa.Wakili huyu anayekwenda kwa jina la Peter Kibatala alisema kwamba kesi hii imefanya mpaka Lord Eyez kuonekana kwamba yeye ndiyo mhusika wa kuiba vifaa hivyo lakini sasa hivi wanaachia kwanza Mahakama ndiyo itakayo chukua uamuzi sahihi kuhusiana na kesi hiyo.Lakini hapo hapo tuliweza kusikia ujumbe kutoka kwa weusi walizungumza na kusema kwamba tukio kama ili limewaathiri pale wanapokutana na watu mbalimbali na kusikia story za watu kusema kwamba wote watakuwa wanahusika katka kesi hiyo wakati ni story ambazo sio za kweli.Baada ya hapo tuliweza pia kusikia ujumbe kutoka kwa Lord Eyez mwenyewe aliweza kuzungumza kusema kwamba mahakama ndiyo itaamua kuchukua sheria kwamba alihusika au ajahusika katika tukio kama hilo la kuiba vifaa vya gari,ambayo kesi hiyo inatarajia kusomwa Mahakama ya Mwanzo siku ya tarehe 13,14 na 15 mwezi huu hapa jijini Dar es Salaam lakini pia alimalizia kwa kusema japokuwa kwa sasa hivi yupo kitaani huku akisikilizia Mahakama imeamuaje kwa hiyo anachotaka kukifanya ni anataka kudondosha ngoma yake mpya kali ambayo anataka kufanya suprise kwa mashabiki wake katika industries hii ya muziki wa Bongo Fleva.

Lord Eyez
Nikki wa Pili
G nako
Lord Eyez akiwa na wakili wake

Weusi!!!!!!!!!
Imeandikwa na Dj Fetty
Imeandikwa na Dj Fetty
Player Banned for Smearing Blood on Opponent’s Face
Watch Brazilian footballer's video who has been given a two-match suspension for an extraordinary incident in which he smeared his blood on an opponent's face.
Chicao of Brazilian third tier side Santa Cruz was left with blood streaming down his face after being caught with a flying elbow by Fortaleza's Esley just before half-time.
Pub Ghost Beryl Caught Live on CCTV Camera
The unwanted visitor at The Manchester Arms in Hull say the spirit flickers lights, turns off machines, plays with hair and even causes floods.
Owners Lisa and Mark Fowler took over the Old Town pub ten weeks ago and have been experiencing some spooky goings-on ever since.

Flaviana Matata Received 10,000 USD Donation For Her Foundation
Diamond Empowerment Fund (D.E.F.), is an international non-profit organization co-founded by Russel Simmons to support educational empowerment programs and initiatives in African nations where diamonds are a natural resource like in Tanzania. Countries like Tanzania,Botswana and South Africa are part of Russel Simmons and his Diamond Empowerment Project
DEF’s envisions a future for these countries to be strong, stable, economically prosperous and socially empowered
Flaviana Matata who is Miss Universe Tanzania 2007 is currently pursuing her modelling career in United States.
Russell Simmons is the third richest figure in hip hop, having a net-worth estimate of $340 million as of April 2011. Russell Simmons and Rick Rubin founded the pioneering hip-hop label Def Jam and created the clothing fashion lines called Phat Farm, Argyleculture, and American Classics.
C Pwaa Ameamua Kugawa Hongo ya Vocha Ili Umpigie Kura

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama CPwaa anayetamba na ngoma kadhaa hapa Tzee sasa
Latest info kutoka kwa msanii ni kwamba baada ya kufahamu kwamba zimebaki siku chache tu aende nchini South African kwa ajili ya kuwania Tuzo za Channel O sasa alichokifanya yeye leo kupitia katika ukurasa wake wa Facebook ni kwamba alikuwa akitoa vocha kuanzia Jero mpaka buku 5 ili umpigie kura. angalia hapo jinsi alivyokuwa akitoa hizo vochaa.!!!

Subscribe to:
Posts (Atom)