C Pwaa Ameamua Kugawa Hongo ya Vocha Ili Umpigie Kura
Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama CPwaa anayetamba na ngoma kadhaa hapa Tzee sasa
Latest info kutoka kwa msanii ni kwamba baada ya kufahamu kwamba zimebaki siku chache tu aende nchini South African kwa ajili ya kuwania Tuzo za Channel O sasa alichokifanya yeye leo kupitia katika ukurasa wake wa Facebook ni kwamba alikuwa akitoa vocha kuanzia Jero mpaka buku 5 ili umpigie kura. angalia hapo jinsi alivyokuwa akitoa hizo vochaa.!!!

Wengine Wamekutwa Wamegandiana Wakivunja Amri ya Sita Temeke!!

Shiliningi miluioni 5 za kitanzania zinahitajika ili kuwanusuru watu wawili walionasiana wakivunja amri sita.
Watu wawili wakazi wa jijini Dar es Salaam wanadaiwa kukutwa wakiwa wamenasana wakati wakifanya tendo maalum la watu walio katika mahusiano (mke na mume) na kwakua wao sio mke na mume halali wamenasiana.
Mume wa mwanake ambae amefikwa na maswaibu hayo ya mwaka jijini Dar es Salaam anahitaji kiasi hicho cha fedha ili atoe PASSWORD ya pin hiyo kali aliuyoiweka katika eneo takatifu la unyumba wao.
Taarifa za awali kutoka Temeke zinapasha kuwa wawili hao wapo katika hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam kwa unasuaji ambao wadadisi wa mambo hasa ya kijamii wanadai Hospitali hawataweza kuwanasua isipokuwa kwa wataalm wa jadi hasa Mume wa Mwenye mke ambaye aliwekewa tego.
Blog hii itatujuza zaidi juu ya tukio hilo ambalo hadi sasa limekuwa ni gumzo jijini na kujaza umati mkubwa wa watu na kusababisha polisi kutumia mabomu ya machozi kutawanya watu eneo la tukio.
Ule Ushafu wa Diamond Umezidi Kukuzwa, Lazma Ajute
HII NI PICHA YAKE ILIYO EDITIWA NA WATU NA KSAMBAZWA FACEBOOK
Iko haja ya wasani wetu pamoja na watu wengine kuwa makini sana na upigaji wa picha za nusu uchi kwa sababu ni rahisi sana kwa watu wenye ujuzi kuzi edit hizo picha.....
Sote tunakumbuka kuwa wakati wa fiesta ya mwaka huu ,diamond na kundi lake walivua nguo na kubakiza boksa tu....
Nadhani lengo lao lilikuwa ni kukuza jina.Bahati mbaya sana lengo hilo halikutimia na badala yake jamii iliwashangaa na kuwachukulia vibaya.......
Mshangao huo haukuishia hapo.watu wasio na kazi nao wamekuja na lao jipya baada ya kuziedit picha hizo na kuzisambaza mitandaoni hasa facebook na twitter.....
Wakati napekua, nilisituka sana kukutana na hiyo picha ikiwa katika ukurasa mmoja wa facebook.Badilikeni wasanii wetu.......mambo mengine mnajitakia wenyewe..

HII NI PICHA YAKE ORIGINAL AMBAYO ILITOLEWA KATIKA MAGAZETI
PICHA NIMEIKUTA HAPA: << PICHA YAKE>>

Check out Video ya Wanene's Cypher#2
With 10 seconds moment of silence for our brother Lex J.
Wanene's Cypher presents Cypher #2 - Daz Naledge, Chabba , JCB and Boywonda (FlyButGhetto-FBG)

Congratulations Mr President!

WASHINGTON—President Barack Obama captured a second White House term in yesterday’s U.S. election, blunting a mighty challenge by Republican Mitt Romney as Americans voted for a leader they knew over a wealthy businessman they did not.
Obama, America's first black president, easily captured far more than the 270 electoral votes needed for victory and further cemented his place in American history Tuesday, despite having his first term dominated by stubbornly high unemployment and Americans' anxiety about their future.
Obama's re-election to another four-year term should guarantee the future of his signature legislative achievement, a health care overhaul, which Republicans hoped to overturn. Internationally, it means the United States is likely to continue a foreign policy emphasizing multinational partnerships in dealing with issues such as Syria's civil war and Iran's nuclear program — an approach Romney derided as weak. Obama's victory could also come as a relief to China since Romney had pledged to declare it a currency manipulator, potentially leading to sanctions and escalating trade tensions.

Kama Umekataliwa na Demu Jaribu Hii Facebook Tricky
Mwili Nyumba added a new photo. — with Habipty Badru.
Erick Waziri and 3 others like this.
Habipty Badru Kwa nini unanfanya hivi.? @mwili
3 hours ago · Like
Mwili Nyumba Sababu unaijua kwani imeandikwaje?
2 hours ago · Like
Habipty Badru Plz nshakwmbia ctaki.!
2 hours ago · Like
Habipty Badru Come inbox.
2 hours ago · Like
Mwili Nyumba Ok
2 hours ago · Like
Subscribe to:
Posts (Atom)