Juan James Rodriguez baada ya kukamatwa na polisi wakati akitangaza tovuti ya bilionea Alki David .
MWANAUME ambaye alijitokeza mbele ya rais wa Marekani, Barack Obama akiwa uchi wa mnyama huku akiwa na maandishi ya kutangaza tovuti ya bilionea Alki David, amejishindia zawadi ya dola milioni 1 toka kwa bilionea huyo.
Juan James Rodriguez, 24, alitiwa mbaroni na polisi baada ya kujitokeza mbele ya rais wa Marekani, Barack Obama akiwa uchi wa mnyama huku akiwa na maandishi makubwa kifuani na tumboni ya kutangaza tovuti ya bilionea Alki David.
Rais Obama alikuwa Philadelphia akikipigia kampeni chama chake wakati Juan alipojitokeza mbele yake ghafla akiwa..