RORO NEW OFFERS TO MOMBASA/DAR (from any port) 4 X 4 CARS NOW £800 SALOON CARS NOW £740 PRICE DROP FOR CONTAINER SERVICES 40′ TO MOMBASA/DAR £2,100 20′ TO MOMBASA/DAR £1,400 40' TO ZANZIBAR £2500 RORO IN OCTOBER 2012 Vessel: Torrens v008 Open for..
KUKUTANA NA WAFADHILI NA WAHISANI ZAIDI YA 150 !!!! WORLD MISSION SUNDAY 28.OCT. 2012 Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) Unapenda kuwakaribisha Watanzania wote wanaoishi ujerumani, Katika Hafla ya WORLD MISSION SUNDAY. itakayofanyika Katika ukumbi Uliopo Hauptstr. 30, D-63814 Mainaschaff Jirani sana na Mji wa Aschaffenburg Siku ya Jumapili Tarehe 28.10.2012, Kuanzia saa 04:00 za Asubuhi. Ambapo Wasamaria wema na Wafadhili wapatao zaidi ya..
Muhasisi wa mwanzo wa mziki wa hisia kali " Reggae" Afrika ya Mashariki Unapouzungumzia mziki wa Reggae au mziki wa hisia kali nchini Tanzania na Afrika Mashariki jina la Jah Kimbuteh atuwezi kulikwepa, mwanamziki huyu mtanzania na bendi yake "Roots and Kulture band,aliyoianzisha mwaka 1983. Jah Kimbuteh ni
Drug Free Zanzibar (DFA) imeandaa maenyesho ya Sober House Recovery Art Exhibition. Katika maonyesho hayo vijana wanaoishi katika nyumba za kurekibishia tabia waathirika wa dawa za kulevya (Sober Houses) watapata fursa ya kuonyesha vipaji vyao katika fani za uchoraji, ushonaji na uchongaji wa vitu mbalimbali. Pia wanajishughulisha mafunzo ya lugha za kiingereza na kifaransa, yoga, drama pamoja na shughuli mbalimbali za uzalishaji mali .“Sober Houses” hizi zimesaidia mamia kwa mamia ya vijana kutoka sehemu mbalimbali nchini kuachana na matumizi ya dawa za kulevya wakiwemo watu maarufu katika fani mbalimbali. Lengo la haya yote ni kuwasaidia vijana ili warudi katika mstari na kurudi katika jamii zao stahiki.
Maonyesho haya yatafanyika katika ukumbi wa Alliance Francaise Upanga kuanzia tarehe 17 mpaka tarehe 19/10/2012, saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Kiiingilio ni bure na wote mnakaribishwa kushiriki ili kuwasaidia na kuwatia moyo vijana wetu ambao wameamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya na kuwa mfano bora kwa vijana wenzao ambao bado wanajishughulisha na matumizi pamoja na biashara ya dawa hizi.
Kwa maelezo zaidi, kusaidia pamoja na ushauri unaweza kuwasiliana na ndg. Suleiman Mauly 0782 000426 au ndg. Alois Ngonyani 0713 334423/0686 334423.