Pages

Simple Magic

DarSlam

Strange Bikes

DarSlam
DarSlam
click read more

Cheka na Glabal

KAKAKUONA.
KIPARAMOTO.

Jambo Squad na Mamong'oo


Kocha Mkuu wa Yanga Atimuliwa!

DarSlam
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Tom Saintfiet.
Na Mahmoud Zubeiry, Bongostaz Blog
KOCHA Mbelgiji Tom Saintfiet amefukuzwa usiku huu, baada ya kutofautiana sera na uongozi wa Yanga na sasa Fredy Felix Minziro, aliyekuwa Msaidizi wake, atakaimu nafasi yake.
Habari zaidi, kuhusu kufukuzwa kwa kocha huyo, Yanga itatoa taarifa rasmi kesho asubuhi saa 3:00, makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani.
Mapema leo mchana, uongozi wa Yanga ya Dar es Salaam, ulitangaza kuisimamisha kazi Sekretarieti nzima ya klabu, akiwemo Katibu Celestine Mwesigwa na Ofisa Habari, Louis Sendeu, kutokana na kile ilichoeleza utendaji usioridhisha.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga alisema kwamba maamuzi hayo yamefuatia kikao cha

Kazi Ipo

DarSlam