Pages

Nasib Abdul 'Diamond' Amchana Baba Yake Ndani ya Mwezi Mtukufu!

SIKU chache baada ya kuibuka kwa baba aliyemlea Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ aitwaye Abdul Juma na kudai kuwa mwanaye huyo amemtelekeza na hamjali, mwanamuziki huyo amemchana mzazi wake huyo, Ijumaa lina kitu kamili. Akizungumza redioni kupitia Clouds FM, Jumatatu wiki hii, Diamond alidai kushangazwa na mzazi wake huyo huku akimtaka kuacha kusema maneno hayo kwani siyo mazuri. 
 diamond
“Kiukweli ni vitu ambavyo mimi vimenishangaza sana kwa sababu sijui chochote na nisingependa nisikie suala la mzazi wangu kusema mimi ni mtoto wake, sijui nini na nini kwamba mimi nafanya starehe sihusiki na yeye, siyo kauli nzuri kiukweli, ina maana ananijua kwamba mimi ni mwanaye baada ya kuwa Diamond?  
 Msikilize Diamond mwenyewe kwa mengi zaidi aliyoongea kuhu baba yake..!

First Eleven of The World Team!

darslamproductions.blogspot.com 
Ronaldo
darslamproductions.blogspot.com 
Wayne Rooney
darslamproductions.blogspot.com 
Luis Figo
darslamproductions.blogspot.com
Lionel Messi

Kaka

Michael Ballack

Ronaldinho

David Beckham
darslamproductions.blogspot.com
Thierry Henry

Carlos Tevez
darslamproductions.blogspot.com
Christiano Ronaldo

David Villa
 
Didier Drogba
The greatest of all time – Pele
darslamproductions.blogspot.com

Ajira Kwa Wote - Nafai za Kazi!!

BAADHI YA ASKARI WA KAMPUNI HIYO.Darslamproductions.blogspot.com
KAMPUNI YA NEW IMARA SECURITY CO.LTD
 INAHITAJI WALINZI 100 WENYE SIFA ZIFUATAZO;
1. AWE MTANZANIA MWENYE UMRI WA KUANZIA MIAKA 18 NA KUENDELEA.
2. AWE NA CHETI CHA KUHITIMU MAFUNZO YA MGAMBO, SKAUTI AU KUSTAAFU KWA HESHIMA KATIKA JESHI LA POLISI, JWTZ, JKT NK.
3.AANDIKE BARUA YA MAOMBI NA KUAMBATANISHA PICHA NNE PASSPORT SIZE.
4.BARUA ZA WADHAMINI WAWILI ZENYE PICHA MOJA MOJA
5 BARUA YA AFISA MTENDAJI MAHALA ANAPOTOKEA
MBEYA ofisi makao makuu ipo eneo la viwanja vya Sokoine Mbeya Mjini mkabala na benki ya NMB au katika matawi yake yaliyopo wilaya ya Kyela eneo la Stendi ya Mabasi, Tunduma karibu na CCM, Rungwe (Tukuyu) karibu na Hotel ya Land Mark.
DODOMA Tupo karibu na Soko la Kariakoo.
MTWARA ofisi zipo eneo la soko kuu mkabala na Msikiti Mkuu.
LINDI ofisi zipo Barabara ya Kawawa
DAR ES SALAAM ofisi zipo Buguruni Mandela Road
IRINGA tupo uwanja wa Samora.
NJOMBE tupo eneo la Makambako karibu na Posta.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU
0754 443 953, 0715 166045
0784 728691, 0715 295206

DMV Summer Picnic.

Darslamproductions.blogspot.com

Dj Choka Aliiba TAULO la CHOO cha Hotelini Baada ya Shooting ya Hii Video!!

Dj Choka Mwizi wa taulo la hoteli, kabla ya kuangalia hii video pata kwanza Ushuhuda zaidi kutoka kwa Gossip Cop na You heard! ya 12th June 2012
 Dj Choka, first from right

London 2012 Olympics - Ready to go!!

The finishing touches are being done to London's Olympic venues as the Games get underway.Although football and archery kick off before Friday night's Opening Ceremony, most sports don't start until the weekend. 
 Darslamproductions.blogspot.com
And Olympics workers have been ensuring that all the venues are up to scratch ahead of the events taking place.
Pretty in pink: Gymnasts at a practice session at the North Greenwich Arena ahead of the start of the Olympics
Pretty in pink: Gymnasts at a practice session at the North Greenwich Arena ahead of the start of the Olympics
Hair-raising: Great Britain's Louis Smith - sporting a new haircut - tests out the horizontal bar at the North Greenwich Arena
Hair-raising: Great Britain's Louis Smith - sporting a new haircut - tests out the horizontal bar at the North Greenwich Arena
Keep up, lads: This dazzling photograph was take of Smith as he went through his moves on the pommel horse
Keep up, lads: This dazzling photograph was take of Smith as he went through his moves on the pommel horse
Amid sweltering heat in the capital - with temperatures touching 31 degrees in places - the army of helpers have been busy ensuring everything is ready.
It means London will..

Dodgy Man Trying to Beat The System

Lie Detector - Understand when Someone is Lying to You.

  You should have felt the pain of being Lied to. When this happens in a Relationship, its really unbearable. When you realise the truth by your loved ones, cheating and lies keeps haunting us.
What if you figure out early that someone is Lying to you?? Won't it be better to know the Truth early? Yes, it will be. This Skill of Detecting LIES will help you everywhere in Judging a Person and help you to decide, upon whom to put Faith on.
Here are some Gestures which has been observed to accompany when a Person Lies.
A Liar will make little or no eye contact.
  • He will keep his arms stiff and move it mechanically as if directed by some external force against his WILL.
  • His hands may try to cover his mouth.
  • Touching the nose and Scratching behind the ear
  • He shrugs his Shoulders a little trying to be Casual.
  • The persons hand Gestures will be inappropriate to his Words.
  • Expressions won't be related to Verbal meaning. For example Frowning while saying "I love you" 
    • Unusual head movements
      The List below shows how a Liar Reacts.
      • When you ask a Question and if he looks to his right-top ie. your Left while or before answering, then he is telling you a constructed story. Well, this is for a Right handed person and a Left handed person does exactly the opposite.
      • A liar might place some object like Coffee cup, books etc. between both of you.
      • He will not feel comfortable sitting in front of you and may move his head and Body away from you.
      • FAKE SMILE -  When you smile naturally, the facial muscles..

      Vituko Vya Kanisani, Shuhudia Maouvu Yanayoendelea!!

      Kufuatia upekuzi uliofanyiwa kasisi wa kanisa la Fire Gospel Ministries, mengi yamefichuka kuhusiana na yanayojiri katika kanisa hilo. Kasisi wake Michael Njoroge inadaiwa huwaombea watu ili kuwakomboa kutokana na matatizo mbalimbali yakiwemo magonjwa. Huduma hizo hazitolewi bure zinalipiwa katika kile kinachoitwa mbegu zipandwazo na hao waumini wa kanisa hilo. Na kama anavyotuarifu Lolani Kalu, ndani ya kanisa hili huwa kuna jazba za hali ya juu na vitimbi vya kila aina katika itikadi ya kipekee.

      Ni Kweli Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Z'Bar Amejiuzulu!!

      Msikilize Hamad Masoud Mwenyewe kwa ushuhuda zaidi