Vodacom Kutoa Tuzo kwa aandishi Mahiri Kumi wa Mitandao ya Jamii na Tovuti Nchini.
Waandishi wa mitandao ya kijamii na tovuti kupewa tuzo kutokana na jitihada na mafanikio yao.
Tuzo hizo kuitwa “ Tuzo za umahiri wa digitali za Vodacom”
Dar es Salaam, 11 julai, 2012.... Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, itatoa tuzo kwa waandishi bora kumi mahiri katika mitandao ya kijamii kutokana na umahiri wao.
Tuzo hizo ambazo zimepewa jina la..
WATUHUMIWA WALIOKAMATWA KWA KUTAKA KUMUUA ALBINO WAACHIWA HURU!!
WATUHUMIWA watatu waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kujaribu kumuua Mtoto Mlemavu wa Ngozi Albino Adam Robaert (13) katika mahakama ya wilaya ya Geita, wameachiwa huru na sasa wamerejea nyumbani wakiendelea na maisha yao ya kawaida.
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Mwandishi wa Gazeti hili watuhumiwa hao wakiwemo wazazi wa Mtoto huyo Robert Tangawizi, waliachiwa huru tangu Mei 30 mwaka huu majira ya saa 4 asubuhi kutokana na amri kutoka kwa Mwendesha mashitaka mkuu wa serikali Elieza Feleshi.
HUYU ndiye baba mzazi wa Adam ambaye alidaiwa kuhusika katika tukio la kujeruhi mwanaye ambaye ni Albino,ambaye anadaiwa alikuwa..
Skyscraper Apartments with Balcony Swimming Pools in Mumbai!
A skyscraper called the Aquaria Grande, under construction in Mumbai , India , not only includes more than 200 apartments, three levels of car parking, a gym and sauna, but it also features pools on the edges of several balconies.

With
228 apartments, the Imperial in Mumbai has two 60-story towers
featuring high-security systems, outdoor terraces, an entertainment area
and pool.

A gym is expected to..
Kigoma All Stars - Leka Dutigite.
Kigoma
All Stars: MWASITI, BANANA ZORO, CHEGE, DIAMOND, ABDU KIBA, OMMY
DIMPOZ, RECHO, LINEX, BABA LEVO, MAKOMANDO NA PETER MSECHU. 

Female Kenyan Artist Signs Historic Deal With Sony Music Entertainment
Sony
Music Entertainment Africa is proud to announce the signing of rising
African rapper,
Xtatic, to a multi-album and full management deal.
The deal marks a first for a Kenyan artist and sees the hotshot rapper, songwriter and performer (born Gloria Edna Mecheo) join a global roster of artists on Sony’s RCA label that includes the likes of Usher, Chris Brown, R Kelly and Pink.
The 21-year-old was..
Subscribe to:
Posts (Atom)