Pages

Swagga za Old Moshi

http://darslamproductions.blogspot.com.jpg

WATUHUMIWA WALIOKAMATWA KWA KUTAKA KUMUUA ALBINO WAACHIWA HURU!!

WATUHUMIWA watatu waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kujaribu kumuua Mtoto Mlemavu wa Ngozi Albino Adam Robaert (13) katika mahakama ya wilaya ya Geita, wameachiwa huru na sasa wamerejea nyumbani wakiendelea na maisha yao ya kawaida. Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Mwandishi wa Gazeti hili watuhumiwa hao wakiwemo wazazi wa Mtoto huyo Robert Tangawizi, waliachiwa huru tangu Mei 30 mwaka huu majira ya saa 4 asubuhi kutokana na amri kutoka kwa Mwendesha mashitaka mkuu wa serikali Elieza Feleshi.
 MTOTO Mlemavu wa Ngozi (Albino) Adam Robert (13) wakati akiwa amelazwa hospitalini baada ya kujeruhiwa na kukatwa mkono na kisha kunyofolewa Vidole sita vya mikono yote miwili,picha hii ilipigwa siku moja tu baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya ya Geita,Picha hii ilipigwa Oktoba 14 mwaska 2011.


 HUYU ndiye baba mzazi wa Adam ambaye alidaiwa kuhusika katika tukio la kujeruhi mwanaye ambaye ni Albino,ambaye anadaiwa alikuwa..

Skyscraper Apartments with Balcony Swimming Pools in Mumbai!

A skyscraper called the Aquaria Grande, under construction in Mumbai , India , not only includes more than 200 apartments, three levels of car parking, a gym and sauna, but it also features pools on the edges of several balconies.
 
With 228 apartments, the Imperial in Mumbai has two 60-story towers featuring high-security systems, outdoor terraces, an entertainment area and pool. 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUo6vF8wayggNF-YZwmmiwc58ZFRU8ztI9nQp7tWKI4LjSWKTbdrh6l0qosrybJxyxr9GqFlLsznS-92WRIbOvz5XAo5VJRUcMvaYz71ATldPGmn8cobScJAPqxgVqrvou0SWjjFttE7Q/s1600/ATT00002.jpg 
A gym is expected to..

Alcoholic Dog!

http://oddstuffmagazine.com/wp-content/uploads/2011/09/alcoholic-dog.pnghttp://a6.sphotos.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash3/538634_288977187856848_374743216_n.jpghttp://a8.sphotos.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash4/198256_149005738568213_2028521240_n.jpghttp://www.funnycutestuff.com/wp-content/uploads/2012/02/dog-in-a-toilet.jpg

Kigoma All Stars - Leka Dutigite.

 Kigoma All Stars: MWASITI, BANANA ZORO, CHEGE, DIAMOND, ABDU KIBA, OMMY DIMPOZ, RECHO, LINEX, BABA LEVO, MAKOMANDO NA PETER MSECHU. http://darslamproductions.blogspot.com/jpg

Female Kenyan Artist Signs Historic Deal With Sony Music Entertainment

Sony Music Entertainment Africa is proud to announce the signing of rising African rapper,
Xtatic, to a multi-album and full management deal. The deal marks a first for a Kenyan artist and sees the hotshot rapper, songwriter and performer (born Gloria Edna Mecheo) join a global roster of artists on Sony’s RCA label that includes the likes of Usher, Chris Brown, R Kelly and Pink. The 21-year-old was..

Jordanian Politician Pulled a Gun on His Rival on Live TV Show!

Behind the scenes at a McDonald's photoshoot

Hope Bagozzi investigates why your food looks different from the advertising in store?

It's Bi Cheka Again!!!

From Hollywood To Tanzania, Mario van Peebles.

 Muigizaji na muongoza filamu Nguli kutoka Hollywood nchini Marekani, Mario van Peebles amewasili nchini kuhudhuria Tamasha la filamu Zanzibar, ZIFF na pia kuzindua filamu yake mpya inayojulikana kwa jina la We The Party katika ukumbi wa Century Cinema, Mlimani City Jijini dar, hapa akilakiwa na waandaaji katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini
 Hapa akiwa katika pozi na mwenyeji wake, Ibrahim Mitawi kutoka ZIFF
Hapa Mario akiwa na Mandela Van Peebles, mwanaye na ni muigizaji mkubwa katika filamu yake mpya itakayoitwa We The Party