
Good News For iPhone Users, Your Phone Can Now Create Hollywood Style Special Effects!!
Action Movie FX is a new app that lets you add special effects to your iPhone, iPad or iPod touch videos. When we say special effects, we don’t mean boring old effects, we mean Hollywood spectacular explosions, missile attacks and car smashes.Action Movie FX lets you add Hollywood FX using your iPhone's video
camera! You direct the action! and free for a limited time – 2 Movie FX
packs!! Select a Scene like "Missile Attack," film a target and Action
Movie FX adds an incoming missile and its explosion right into your
movie!
Action Movie FX supports the iPhone 3GS, iPhone 4, iPhone 4S, iPad 2 and iPod touch 4th Generation only.
-Free - App Store link
Mgomo Wa Madaktari, Dr. Steven Ulimboka Atekwa na Kula Kichapo Cha Mwizi.!!
Taarifa zilizotufikia ni kwamba Kiongozi wa Mgomo wa Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka ametekwa na ameokotwa akiwa katika hali mbaya sana. 
Hali aliyokuwa nayo Dk. Steven Ulimboka baada ya kuokotwa.
Kwa mujibu wa mtandao wa Jamii Forums, Dk Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye 'face to face' kwa ajili ya mazungumzo.Tukio hilo limetokea wakati kumekuwepo na mgomo wa madaktari nchi nzima ambao hata hivyo wameonekana kusalitiana kwa kutokuwa na msimamo wa pamoja, kwani maeneo mengine huduma zimeendelea kama kawaida.



Subscribe to:
Posts (Atom)